Mwanamichezo Bora wa Mwaka 2011 Shomari Kapombe akiwa na wadhamini wa tuzo za TASWA,ambao ni Mkurugenzi wa SBL(kulia) Richard Wells,Mkurugenzi wa Uhusiano wa SBL Teddy Mapunda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Nyange Kaburu.pia Kapombe alipata Tuzo ya mchezaji chipukizi wa mpira wa miguu hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Daimond Jubilee Dar es Salaam Tarehe 14 june 2012
HUU NDIO UTOFAUTI WA CCM NA VYAMA VINGINE - KIHONGOSI
-
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Komredi Kenani Labani Kihongosi,ametembelea Shina Namba 7 la CCM katika
Tawi la Many...
1 hour ago
0 Comments