Familia ya marehemu Mzee Abdallah Mohammed (Macheche), wanapenda kutoa shukrani za dhati kwa mchango wenu mkubwa mlio uonesha wakati wa mazishi na shughuli nzima za kumpumzisha mtoto wao mpendwa Mohammed Abdalla (Bacheche) .Tunapenda kuwaarifu kwenye shughuli ya arobaini ya mtoto wetu itakayofanyika nyumbani kwao kwa marehemu Mzee Abdallah Mohammed (Macheche) Makumbusho /Kijitonyama karibu na shule ya msingi Makumbusho May 26, kuanzia saa mchana baada ya sala ya adhuhuri.
TBS YATUMIA MAONESHO YA BIASHARA ZANZIBAR KUKUZA UZINGATIAJI WA VIWANGO
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya
viwango kwa wananchi na wajasiriamali wanaotembelea Maonesho ya 12 ya
Biashara ...
19 minutes ago

0 Comments