Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Mei 28, 2012 kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA UJUMBE WA KITENGO CHA KUDHIBITI FEDHA HARAMU
(FIU)
-
*Na. Joseph Mahumi na Saidina Msangi, WF, Dodoma*
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya
mazungumzo na ujumbe kutoka ...
2 hours ago

0 Comments