Baadhi ya Wanafunzi Wa UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja Na Watoto waishio katika Kituo Cha Miyuji kilichopo Maeneo ya Miyuji Mkoani Dodoma wakati wanafunzi wa UDOM walipokwenda kuwatembelea Watoto hao hapo jana Kituo hicho kiko chini ya uongozi wa Kanisa Katoliki .Picha zote na Fadhil Gharib Linga Wa Lukaza Blog - http://josephatlukaza. blogspot.com
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
3 hours ago
0 Comments