Baadhi ya wadau wa Michezo na burudani , mara baada ya kutoka katika mechi ya Yanga na Zamalek waliotoka ngoma droo yaani 1.1 tukajitupia katika viwanja vya TCC Changombe ambapo bendi ya Msondo Ngoma walikuwa katika Bonanza lao ambalo hufanyika kila siku za Jumamosi.Pichani ni waandishi wa habari wakiburudika na burudani zilizokua zikitolewa na bendi ya msondo ngoma baba ya muzikikutoka kushoto ni Victor Makinda,Khadija Kalili na Juma Kasesa.(Picha na www.burudan.blogspot.com)
Michezo : Simba Yashindwa Kufurukuta Ugenini ,Yapigwa 2 -0 na Al Masry
-
KLABU ya Simba imeshindwa kutamba ugenini katika hatua ya robo fainali
mkondo wa kwanza dhidi ya Al Masry ya nchini Misri baada ya kupokea kipigo
cha ...
1 hour ago
0 Comments