Beatrice emanuel kantimbo,mkazi wa kwembe ,kata ya Kibamba,dar es salaam maarufu kama MC Kimbaumbau anaomba msaada wa fedha akatibiwe mguu wake nchini India ambao una miaka 12 toka augue.kwa mawasiliano zaidi na yeye mpigie au mtumie pesa kwa tigo pesa ama M-pesa nambari 0716 850 350 au 0767 850 351
WATUMISHI WA UMMA WASISITIZWA NIDHAMU NA UADILIFU KATIKA KAZI
-
*Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
‘Mei ...
9 hours ago
0 Comments