Rais Jakaya Kikwete,akiteta jambo na ndugu wa marehemu Jeremiah Sumari , ambaye alikuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CCM) alipokwenda kuwafariji jana kutokana na msiba huo ,(Kulia) ni Spika wa Bunge , Anne Makinda na Waziri Mkuu Msataafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli ,Edward Lowassa.
0 Comments