Kutoka kulia ni Mtangazaji wa Times FM , Scolastica Mazula.
Mmoja wa watangazaji wa Time FM Massoud Alli 'Kipanya' akitoa neno.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiy, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (kulia) akigana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga baada ya hafla hiyo kumalizika.(Picha zote na Richard Mwaikenda).
0 Comments