SIKU PETER KAPINGA ALIPOTUNUKIWA KAMISHENI NA RAIS DK. JAKAYA KIKWETE.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  ambaye  pia ni Amiri Jeshi Mkuu aliwatunuku Kamisheni wanachuo wa Chuo cha kijeshi cha Monduli Mkoani Arusha.
                                                          Luteni Peter Kapinga.
Peter  pichani juu akiwa mmoja  kati ya wahitimu hao anapenda kuwashukuru wote ambao walioshiriki katika kumsaidia kwa namna moja na nyingine mpaka amefikia hapo alipofikia, zaidi anapenda kumshukuru Dada ake Esther Mbapila pamoja na Mr. Mbapila kwa kushiriki katika mchakato wote mpaka akafanikisha kupata alichokihitaji.

Post a Comment

0 Comments