Rais Jakaya Kikwete leo amekutana na ujumbe a uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makama Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally (Picha na Ikuli)
Wizara ya afya kujenga Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Unguja
-
Wizara ya Afya Zanzibar imetiliana Saini mkataba wa makubaliano ya Ujenzi
wa Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Unguja na kampuni ya Cross world
Construction...
24 minutes ago



0 Comments