Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakishiriki katika mchezo wa kuvuta kamba katika bonanza la familia la wafanyakazi wa benki hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Kunduchi Dar es Salaam.
WAZIRI NDEJEMBI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BENACO–KYAKA
-
📌 Utawezesha Mkoa wote Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa
📌 Zaidi ya Bilioni 270 kutumika kutekeleza mradi
📌 Mradi kukamilika ndani ya miezi 24
...
10 hours ago
0 Comments