Vijana wachezaji wa mchezo wa Rugby katika shule ya Hopac iliyopo Kunduchi chini ya kocha Shaun Graham iliyodhaminiwa kwa kutengenezewa jezi zenye chata ya Uhuru.
Chata ya Uhuru ni ubunifu wa wabunifu wa mavazi Ally Remtullah na Vida Mahimbo wanaofanyakazi kwa ushirikiano na kampni ya Adidas ya Italia kwa lengo la kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana hususan katika mchezo wa Rugby.
Kocha na Mtaalam mchezo wa Rugby Shaun Graham (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa Kunduchi Knights.
Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo (aliyebebwa) sambamba na vijana wa Kunduchi Nights na Ally Remtullah (mwenye miwani) mara baada ya kukabidhi jezi kwa timu ya Rugby ya Hopac School.
Kocha Shaun Graham akiteta jambo na wanafunzi wake.
Picha zote zimetumwa na
Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
www.mohammeddewji.com/blog
0 Comments