NYUMBA INAUZWA

Nyumba ina vyumba 3,viwili vya kawaida na kimoja master,ina
Garage,sitting na dinning room kubwa pamoja na kitchen.Ina eneo kubwa
la kuweza kujenga nyumba nyingine na eneo limepimwa.Nyumba hiyo iko
Mtoni Kijichi (Wilaya ya Temeke),hakuna msongamano (Low Density
Area),dakika 5 kwa gari kuelekea barabara kuu (Kilwa Road) na dakika
15-20 kuelekea mjini (K/koo au Posta).Wasiliana na mmiliki kupitia
namba: + 255 657 183 918 au Email:binkhalifa@yahoo.com
Ahmad Issa Michuzi
P.O BOX 4156,
DAR ES SALAAM.
www.michuzijr.blospot.com
Phone:0713 422 313/ 0783 422 313
Tanzania- East Africa.

Post a Comment

0 Comments