Social Icons

Monday, July 11, 2011

MAMBO MAZURI YA FLORA SALOON JIJINI MWANZA





Pichani ni baadhi ya kazi za mikono ya dada Flora wa Florasalon kutoka jijini Mwanza.Baadhi ya kazi za mikono yake ni pamoja na Maua ya Kichwani ya aina zote,Kofia mbalimbali za akina dada,wazazi,Maua ya Mikononi,Maua ya wasimamizi wa kwenye sherehe mbalimbali na mambo mengine mbalimbali yanayopatikana dukani kwake jijini Mwanza-Barabara ya Uhuru jirani na Deluxe hotel.
FloraSalon:Kila kitu kinawezekana kwetu kwa upande wa urembo na maharusi karibu tuipambe harusi yako,kiupendo tupigie,0759,665555 au 0786,665555 karibu sana.Zaidi Bofya hapa

No comments:

 
 
Blogger Templates