Wadau wangu wa Blogu hii ya Bongoweekend nawaaga niko safarini mwanza Inshaallah tutaonana mungu akipenda na panapo majaaliwa yake .Ijumaa njema na weekend tulivu.
KENYA YATOA HATI ZA VYUO VIKUU KWA KAIST NA KEMRI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Serikali ya Kenya imetoa hati rasmi za vyuo vikuu kwa Kenya Advanced
Institute of Science and Technology na Kenya Medical Research I...
4 hours ago
1 Comments
wananiita lukwangule