KUNDI LA MWANZA HOUSE OF TALENT WAIBUKA WASHINDI WA DANSI LA FIESTA 2011

Wasanii wa Mwanza House of Talent wakionyesha umahiri wao katika miondoko ya dansi.

Hapa ilikuwa ni kushangweka na msimu wa Dhahabu kwa kupitia Serengeti Dansi Fiesta 2011.
Kkundi hili litaungana na makundi mengine yaliyofanya vizuri katika mikoa mbalimbali ambali Serengeti Fiesta ilikanyaga na kuwapata wakali wake.

Post a Comment

0 Comments