Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, inayojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 9.7, wakati alipofika Mkoa wa Kusini Pemba kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali leo Mei 18. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, yenye urefu wa Kilometa 9.7 inayoendelea kujengwa, wakati alipotembelea na kukagua akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali kwenye mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba leo Mei 18. Kushoto ni Ofisa msimamizi kutoka Wizara yaMaswasiliano na Miundombinu Zanzibar, Hamadi Baucha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
0 Comments