Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha mke wa kwanza wa Balozi George Kahama, Mama Maria Kahama, aliyefariki dunia Mei 19, 2011 na kuzikwa juzi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
1 hour ago
0 Comments