

Dada Anita Mungai-Rumadha aka Shemeji mke wa Kaka sensei Rumadha fundi,Juzi alijiweka rekodi ya kujiunga na akinana Dada Mashujaa katika elimu kwa kulamba NONDOZZ!! ya shahada ya " "Social Work" katika mahafali yaliyo fanyika chuo kikuu cha North Texas,nchini Marekani.
Nderemo nderemo! Shamra Shamra na Shangwe zilifunika katika sherehe hizo ,zikiongozwa na Sensei Rumadha Fundi (mume wa Dada Anita Mungai) zikisindikizwa kwa mayoe na ndugu,maarafiki wengi waliokuapo ukumbini...

0 Comments