Familia ya Bongoweekend yaongezeka nikiwa safarini nilipigiwa simu na mdogoangu Anitha Kalili akinitaarifu tumepata mgeni mtoto wa kike jina lake Sharon.Haya mama karibu na siye ndiyo mama zako .Pia hongera mdogoangu Anitha kwa kupata Sweet baby japo sura bado inanizingua lakini najua najua kautambulisho ketu ka miguu hakakosekani hapo.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS IKULU AFUNGUA MRADI WA UIMARISHAJI NA
UHUISHAJI MAJI MKOROGO ZANZIBAR
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir akikunjuwa Kitambaa
kushiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa
Uhuishaj...
6 hours ago
0 Comments