Mdau John Bukuku kulia na mimi nikiwa katika picha mara baada ya kupewa filamu ya bure ya DADA WA MPIRA tukiwa na Nisha Ligon ambaye ni Director/ Producer wa filamu ambaye yuko nchini hivi sasa tulikutana naye katika viwanja vya Shirikisho la Soka TFF ndipo akatusalimu na mara tukaona tunagaiwa filamu hii tulipomuuliza anauza bei gani akasema hiyo ni zawadi yenu.Unaweza kuona mambo mengi mazuri ya Nisha kwa kupitia Email yake nisha.ligon@gmail.com pia katika Website yake www.nishaligon .com, www.twigastars.com
ITA KUJA NA KOZI YA UZAMILI WA FORODHA KUKIDHI SOKO LA WATAALAMU
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
CHU0 Cha Kodi (ITA) kimewakutanisha wadau mbalimbali wa ikiwemo sekta ya
forodha, kodi na elimu kujadili namna ya kuandaa ko...
1 hour ago
0 Comments