Matron wa Kimwana wa twanga Pepeta 2011 Husna Idd "Sajent.Baada ya utambulisho, itafuatiwa na Nusu Fainali itakayofanyika ijumaa tarehe 27-05-2011 katika Club San Siro na kumalizia katika fainali ijumaa ya tarehe 03-06-2011 inayotarajiwa kufanyika katika ama kumbi ya Mlimani City na Ubungo Plaza kutegemea na upatikanaji wake.
Mkutano Mkuu wa Kilimo Ikolojia Hai kufanyika Machi mwaka huu
-
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Kilimo Hai Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo (TOAM)
linaratarajia kufanya Mkutano MKuu wa Nne Machi 3hadi Machi 5 ...
23 minutes ago


0 Comments