SHEREHE YA SBL KWA WANAHABARI YAFANA KEMPINSKI

Kutoka kushoto ni Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo, Mkurugenzi wa Uhusiano (SBL),Teddy Hollo Mapunda,Mwenyekiti wa Kampuni ya SBL,Mark Bomani, Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi na Mkurugenzi wa SBL, Richard Wells. Hafla hiyo ilifanyika jana usiku kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempinski,Jijini Dar es Salaam.

Press Release
SBL for Media Golden Moment Launch

Serengeti Breweries Limited, through its Premium Serengeti Lager Brand (PSL), has this year, once again, scooped the German Agricultural Society (DLG) award, for the third year running.

In that regard SBL is hosting the Media Golden Moment launch to cerebrate its brand’s successful moment. This is to share with the media fraternity and members of the National Soccer Team, Taifa Stars as well as other business partners the quality credentials and joy we have with this great brand.

Speaking at the press conference today, the SBL’s Managing Director, Mr Richard Wells, said that SBL has been participating in the beer testing event in DLG since 2008 and has successively managed to win the award twice for the brand. Mr Wells said that DLG competition is considered as the toughest testing organization in the world for beer and it’s also an expensive undertaking to take part in such an activity.

“In the last 3 years, PSL has won a GOLD medal from both DLG and Monde Selection, which are internationally recognized to be one of the toughest testing organizations in the world for beer” he noted.

“Today - We want to share with you the quality credentials and awards won by PSL and why we believe and know the brand deserved the Golden Quality Awards”.

The awards like DLG have placed PSL in the arena of key international beer brands. Each food & beverages category is tested once a year within the scope of the voluntary product-focused International DLG quality competitions held in different regions of Germany each time.

The SBL Corporate Relations Director, Ms. Teddy Mapunda spoke of importance of quality in the beer industry and that is strictly observed at SBL. “The finest ingredients and the brewing process are also vital and for PSL to win this international award, it is a reflection of the hard work the brew master and his team has put in.” Premium Serengeti Lager has grown, over the years, to be one of Tanzania’s leading beer brands. Refreshingly crisp, it is the first lager in Tanzania to be 100% Malt.

The PSL Golden Moment campaign will sail through the coming weeks countrywide with three phases that will incorporate a number of activities including ‘Fiesta’ an annual music extravaganza. There will be shining Golden moments for this award winning brand that has made the consumers and the country proud.


Teddy Mapunda
Corporate Relations Director

Editor Note:
· Serengeti Breweries Limited is a subsidiary company of East African Breweries Limited/ Diageo, a global alcoholic beverages company headquartered in London, United Kingdom and the world's largest producer of spirits and a major producer of beer s and wines.
· Its brands include Smirnoff (the world's largest-selling vodka), Johnnie Walker (the world's largest-selling whisky), José Cuervo (the world's largest-selling tequila), Baileys (the world's largest-selling liqueur) and Guinness. Other SBL brands include Premium Serengeti Lager, Tusker, The Kick and Uhuru Peak Lager, Tusker Malt Lager. It also produces Vita Malt and Malta Guinness – non alcoholic brands.
· DLG [short for German Agricultural Society] has over 17,000 members in Germany and Internationally. It specializes in agricultural and food know-how, exhibitions, publishing and certifying agricultural quality processes and food testing. DLG tests well over 20,000 food & beverage products from Germany and other countries from all over the world every year. The product range covers all food & beverages categories, such as meat products, fish, frozen foods, ready dishes, delicatessen, bread & pastries, dairy products, wines, spirits, fruit juices and mineral water.
Wanne Stars na kundi alke walikuwepo.
Waziri wa Habari ,Vijana , Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza kwenye sherehe hiyo ya Wanahabari.Pia ameipongeza Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) kwa kutwaa tuzo kutoka nchini Ujerumani kwa miata mitatu mfululizo Tuzo hiyo ni kwa kupitia Bia yake ya Premium Serengeti Lager.Kadhalika amewapigia Chapuo mchezo wa Riadha udhaminiwe na (SBL).
Wachezaji wa Timu ya Taifa 'Taifa Stars' wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mahusiano SBL , Teddy Hollo Mapunda ambaye elizungumzia kuhusu umuhimu wa ubora katika sekta ya bia na kwamba hilo linatiliwa sana mkazo na Serengeti Breweries"Shairi nzuri na upikaji mahiri wa bia pia ndiyo muhimu sana na kwa Premium Serengeti Lager kushinda tuzo hii ni dhahiri kuwa mpikaji mkuu na timu yake wamefanya kazi kubwa sana"Bia ya Premium Serengeti Lager imeendelea kukua kila mwaka na sasa ni moja kati ya bia zinazoongoza Tanzania.Refreshingly Crisp, ni bia ya kwanza Tanzania kuwa asilimia 100% na kimelea cha shairi.
MJuimbaji wa kike katika bendi ya Kalunde Sarafina Mshindo ,bendi hiyo ndiyo ilitumbuiza.
Dk. Nchimbi akihudumiwa katika hafla hiyo jana kulia kwakwe ni Mwenyekiti wa Kampuni ya SBL Mark Bomani.
Moja ya Burudani zilizokuwepo katika sherehe ya wanahabari iliyoandaliwa na SBL jana usiku.
Mnenguaji wa kutumainiwa katika bendi ya Kalunde Aminata.Muimbaji wa bendi ya Kalunde Junior Gringo.
Mwanahabari Edmund Mihale kutoka gazeti la Majira hapa akijimwaga na mmoja kati ya wasanii waliotoa burudani.
Mitindo mbalimbali ilikuwepo hapa yalikuwa mambo ya Kihindi.
Teddy akiwa na Kocha wa Taifa Stars Jan Poulsen.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini Angetile Osia akiteta jambo na Waziri Nchimbi.
Hapa ilikuwa ni katika miondoko ya Michael Jackson.
Katibu Mkuu wa TFF Angetile akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Richard Wells.
Kalunde wakitoa burudani.
Kipa wa zamani wa Taifa Stars Juma Ponda mali, Kocha Msaidizi wa timu ya taifa Sylvester Mash na Meneja wa Taifa Stars Tasso Mukebezi.
Wasanii wa Sarakasi nao walikuwepo huku wakiongozwa na Wanne Star.
Khadija wa kwanza kushoto, Kambi Mbwana kutoka gazeti la Bingwa na Mwandishi mwandamizi pia aliyekuwa Ofisa Habari wa TFF Florian Kaijage.


Wasanii wa Bendi ya Kalunde wakiendelea kutoa burudani.

Post a Comment

0 Comments