Mtangazaji wa kituo cha 100.5 Khadija Sahibu 'Dida' aliwa na mmiliki wa Five Star. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA www.Mambo ya Pwani.blogspot.com)
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa miongoni mwa watu waliosubiri miili ya marehemu jana usiku kwenye ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ally ambako waombolezaji walikusanyika hapo.
Huyu ni Kiongozi wa Five Star Ally J ambaye alipona kwenye ajali aliliza sana watu waliomwona akiwa peke yake huku wenzake wakiwa wamefariki katika ajali hiyo.
Picha zina kumbukumbu jamani haopa ilikuwa ni kwenye hafla ya Uzinduzi wa Tuzo za Kili zilizofanyika katika Hoteli ya Double Tree Masaki Dar es Salaam mwezi Januari kutoka kushoto ni Dida, Marehemu Issa Kijoti na Sauda Mwilima wa Star TV.
Mtangazaji mbobevu katika muziki wa taarab nchini mama wa Ng'aring'ari Sakina Lyoka kutoka Clouds TV akilia kwa uchungu.
Baadhi ya miili ya marehemu hao picha hii ni kwa hisani ya http://www.mateja20/ Blogspot.com
Muimbaji mkongwe wa muziki wa taarab Khadija Kopa akiwa na simanzi.
Baadhi ya ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu.
Mwili wa mmoja wa marehemu ukiwa tayari kwa maziko.
Dida akisalimiana na Mh. Juma Kapuya aliyefika katika msiba wa wasanii hao jana usiku.
Mtangazaji wa Capital Radio Hawa Hassan pia mdau mkubwa wa muziki wa miondoko ya pwani. Wanahabari kutoka kushoto Dida (Times FM),Imelda Mtema (Global Publishers),Susan Baltazar na Sakina Lyoka wote Clouds Media Group.

Post a Comment

0 Comments