KWA MARA NYINGINE TENA NACHUKUA FURSA HII KUMSHUKURU MWENYEEZI MUNGU SUBHANA HUWATAALA KWA KUNIVUSHA SALAMA NA KUWEZA KUUONA MWAKA MPYA WA 2011, SIYO MIMI TU BALI NA FAMILIA YANGU YOTE KWA UJUMLA HUKU WA KWANZA AKIWA NI BABA YANGU MZAZI MZEE AL- HAJ SHAABAN KALILI WA KIBAHA PWANI. KADHALIKA NAMWOMBEA MAGHUFIRA MAMA YANGU MPENDWA ALALE PEMA PEPONI PIA ROHO YAKE IPUMZIKE KWA AMANI YEYE NA WOTE WALIOKWISHATANGULIA MBELE YA HAKIKA.NA SISI TULIO BAKI TUENDELEE KUISHI KWA AMANI NA UPENDO.TUSIBEZANE JAMANI TUELEKEZANE PALE INAPOBIDI. HAKIKA NAWAPENDA WOTE BILA YA KUMSAHAU KILA MMOJA AMBAYE ALISABISHA NITABASAMU NINAPOKUWA NAYE NA WAKATI WOWOTE WA MAISHA YANGU. SIPENDI KUSEMA NENO HILI LAKINI LEO INABIDI NISEME UMEFIKA WAKATI SASA KILA MTU AFUATILIE MAMBO NA MAISHA YAKE TENA YA MSINGI TUACHE KUANGALIA NANI KAFANYA NINI KWANI MUDA UNAOUPOTEZA KUFUATILIA MAISHA YA MWENZAKO NAKUSHAURI UNGEFANYA JAMBO LA MAANA ZAIDI MAISHANI MWAKO KWANI WAKATI NI BORA ZAIDI YA MALI HASA KINA KINA DADA AU WANAWAKE TUACHE UMBEYA BINAFSI MNANIKERA LAKINI NATANGAZA KUWASAMEHE WAMBEYA WOOTE WALIOSABABISHA ROHO YANGU ITAPIKE NYONGO CHAFU BILA KUTARAJIA KUTOKANA NA MAJUNGU NA FITINA ZAO KUKAA KWANGU KIMYA SIYO KAMA NAWAOGOPA BALI NILIAMUA KUWAPOTEZEA TU KWANI WAPO WATU WENGINE HUPENDA KUSIKIKA KWA KUPITIA MANENO MIMI SINA MPANGO NAO . WAPO WENGINE WANASHINDWA KUANGALIA MAMBO YAO NA WAUME ZAO KADHALIKA NA FAMILIA ZAO MNAN'GANGANA NA MISELE YA WENZENU ACHENI HIZOO.SASA TUANZE MAISHA UPYA NATUMAINI WATABADILIKA.LINGINE LA MUHIMU ZAIDI NAWASHAURI KILA MTU AWAJALI NA KUWAPENDA WATOTO WAKE KWANI RAHA YA DUNIA NI WATOTO KADHALIKA NA MIMI KILA DAKIKA YA PUMZI ZA UHAI WA MAISHA YANGU HAPA DUNIANI NAMWOMBA MWENYEEZI MUNGU ANIONGEZEE UHAI/UMRI NA NGUVU ZAIDI ILI NIWEZE KUWATUNZA NA KUWALEA WANANGU ZAIDI INSHAALLAH AMIN.WABEJA/URAKODZE.CHEZEA WEWEEE HAPPY NEW YEAR 2011 HIZI NI SALAMU ZANGU KWENU.ADIDJA
BAADA YA SALAAM ZANGU ZA MWAKA MPYA,MPANGO MZIMA NI KATIKA TAMASHA LA RAHA KAMILI NA SERENGETI KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB LEO, KIINGILIO NI BUKU TATU TU MLANGONI KISHA UNAPEWA CHUI CHUI BEE (MBILI) MLANGONI.TAMASHA KAMA HILO LINAENDELEA A' TOWN NAMAANISHA ARUSHA KATIKA UKUMBI WA NAMATONGEE AMBAKO WASANII WA THT WATAKUWEPO NA BENDI YA TWANGA PEPETA KAMA KAWA WATAWATOA MAGAGA YA BARIDI KWA KUSIGUA KISINO KESHO TAMASHA HILO LITARINDIMA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO.HIYO YOTE NI MAMBO YA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI (SBL). LEO LEADERS KUTAKUWA NA BURUDANI ZA KUTOSHA AMBAZO NI RAMADHANI MASANJA 'LE GENERAL BANZASTONE' AU WAWEZA KUMWITA KWA JINA LA MWALIMU WA WAALIMU ATASHUKA NA BENDI YA RUFITA CONNECTION, JADO FFU NA BENDI YA MASHUJAA , ALLY CHOKI 'CAMARADE, MZEE WA FARASI , AU MWARABU WA KIBAHA' ATARINDIMA NA BENDI YA EXTRA BONGO PIA LIVA HASSAN ATAKUWEPO NA KUNDI LA BENDI MPYA SCHENGEN.PIA WASANII WENGINE WA KIZAZI KIPYA WATAKUWEPO.BONGOWEEKEND IKO NJIANI KWENDA HUKO.
2 Comments
badilikeni jamani mwaka 2011 majungu, fitna, chuki tuviache hata mwenyezi mungu hapendi.