Hapa Kitime alikuja kunipgia ala hii wakati goma likiendelea lakini sikupata muda wa kujua jina kifaa hiki kinaitwajee ntamuliza lakini. Kushoto ni Muimbaji pekee wa kike Nyota Kinguti Waziri na Saada Baraka .
Mabruk 'Meb' au Babu Njenje hapa akiwakilisha katika mkesha ambapo Blog hii ilijitupia ndani.
John Kitime licha ya kuimba hupiga gitaa na mambo kwenda sawa.
Saada Mamaa wa Holand naye alikuwepo kuzungusha nyonga 'Warumba Cheee'.
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments