picha ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Sino Tan Renewable Energy, Alex Lema akimkabidhi Kaimu wa Kamshina wa Madini ripoti ya upembuzi nyakinifu kuhusu mradi wa umeme wa upepo wa MW 100 wenye thamani ya dola za Mareakani milioni 150,ambao ujenzi wake unatarajia kuanza Septemba 2012 na umeme wake kuanza kupatikana Februari 2013.Mradi huo utasaidia kupunguza tatizo la kukatika kwa umeme kwa asilimia 10.picha na Magreth Kinabo- MAELEZO.
Rais Samia awasili Jijini Dar es Salaam kwa 'SGR' kutokea Mkoani Dodoma
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Dodoma
kwa usaf...
42 minutes ago
0 Comments