Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM) Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu harambe ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha wanafunzi cha CKD itakayofanyika Ikulu jijini Dar es alaam. Mgeni rasmi katika harambe hiyo itakayofanyika Alhamis tarehe 20.1.2011 ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam.
WAANDISHI WASAIDIZI NGAZI YA KATA KUTOKA MASASI, NANYUMBU WANOLEWA
-
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
leo Januari 22,2025 ametembelea mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ...
1 hour ago
0 Comments