Imeelezwa katika mkutano wa wadau na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa majengo ya makumbusho ya Azimio la arusha Januari 28 kuwa baadhi ya waandishi wamekuwa wakivamia mikutano na kudai posho kwa nguvu na wanapokosa hela wanaporomosha matusi.
Waandishi wamekuwa wakijifanya askari kanzu kuchunguza habari za watu na kuwadai fedha kwa nguvu.
Hapa Arusha waandishi wa habari wa kike wamebatizwa jina na kuitwa watoza ushuru,ushuru huo ama uwe wa habari au wa ngo............
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Isdori Shirima.
Abubakari Karisan amewashutumu wamiliki wa vyombo vya habari kushindwa kuwalipa bwaandishi wao wa mikoani na kusababisha kufanya kazi katika mazingira magumu.
Hata hivyo ametoa wito wa Asasi za kiraia kuangalia namna bora ya kuwasaidia waandishi wafanye kazi kwa kuzingatia miiko ya uandishi wa habari.
Viongozi wa vyama vya Siasa wameonywa kuacha kuwagawa waandishi kwa pesa na badala yake watoe nafasi wafanaye kazi zao kwa uhuru.
Pia tabia ya Viongozi wa Serikali,Wanasiasa n.k kupendelea TV na Redio iachwe kwani inadumaza waandishi wa habari wa magazeti,na hata mwingine Waziri,Kongozi wanapokuwa na mkutano unaweza kuchelewa kuanza kisa mtu wa Tv hajafika.
Na hali imesababisha wapiga picha wa TV na ripota kujiona wako matawi ya juu na kutaka walipwe pesa nyingi

0 Comments