Baada ya kuwa nje ya jiji la Dar es Salaam na kutokana kuwa na kuwa na ziara ya maonyesho katika nchi jirani Kenya.Ambako walifanya onyesho moja katika Hoteli ya Safari Park katika mkesha wa mwaka mpya.Baada ya hapo wakanga nyoyo za mashabiki wa A-Town (ARUSHA) ndani ya Matongee Januari mosi ambapo siku iliyofuata wakafanya onyesho mkoani Kilimanjaro sasawapo kamili Jijini kwa kiingilio cha sh.5000.Kesho mchana burudani itaendelea katika bonanza Leaders Club na usiku watakuwa TCC Chang'ombe.Kama hiyo haitoshi katika mkesha wa sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar yaani Januari 11 Twanga watakuwa ndani ya ukumbi wa Mzalendo onyesho hilo limeandaliwa kwa watu mashuhiri Jijini Dar es Salaam wakiwemo Watangazaji kutoa katika vituo mbalimbali vya redio na Televisheni, Waandishi wa Habari katika magazeti yooootee, Bloggers pamoja na wadau wa muziki na wakazi wa Jiji la Dar es Saalam na Viunga vyake.Lakini mlangoni unatoa Kiingilio cha shilingi 10,000 tu.
JAMII YAASWA KUWAKUMBUKA WENYE MAHITAJI MAALUM KIPINDI CHA SIKUKUU ZA
MWISHO WA MWAKA.
-
Na WMJJWM-Dar Es Salaam
Jamii imehimizwa kuwakumbuka watu wenye Mahitaji Maalum katika msimu huu wa
Sikukuu kwa kuwapatia zawadi na mahitaji mbalimbali...
1 hour ago
0 Comments