Anaitwa Hamza Kalala a.k.a Mzee wa Madongo, anawatakia kheri ya mwaka mpya wapenzi na wadau wote wa muziki wa dansi nchini.Salaama za mkongwe Kalala amezitoa jana mara baada ya kukutana na Globu hii kitaani Vijana Hosteli Kinondoni, Dar es Salaam.Galacha huyu ndiye baba wa Rapa wa bendi ya FM Academia Toto Kalala na muimbaji wa bendi ya Mapacha 3 Kalala Junior.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS IKULU AFUNGUA MRADI WA UIMARISHAJI NA
UHUISHAJI MAJI MKOROGO ZANZIBAR
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir akikunjuwa Kitambaa
kushiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa
Uhuishaj...
8 hours ago
0 Comments