Peter Msechu ambaye ni mshindi wa pili katika shindano la vipaji la Tusker Project Fame 2010 Jumapili Januari 2 anatarajiwa kutoa burudani Club Bilicanas ndani ya Bongo Stars Nite imefahamika.Kiingilio ni sh. 5,000kwa habari zaidi tembelea www.bilicanasgroup.com
0 Comments