Mabingwa wa Tanzania Simba wanatarajiwa kushuka dimbani Jumamosi Novemba 20 ambako watacheza mechi ya kirafiki na timu ya Azam ya Dar es Salaam ikiwa ni katika Tamasha litakalofahamika kwa jina la Amka Kijana.
Akizungumza jana katika mkutano na waandishi wa habari Mratibu wa tamasha Bonga Mwalimu “Mechi hiyo ilimeandaliwa na Kampuni ya Burudani ya B Kuwa Entertainment, huku Mratibu wake akisisitiza kuwa tamasha hilo la Amka Kijana litakuwa Bab kubwa na endelevu”.
Aidha kabla ya mechi hiyo kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali ambao watasherehesha ambao ni pamoja na kundi la TMK Wanaume Family wenyeji wa tamasha, Tip Top Connection na Berry Black kutoka Zanzibar.
Wasanii wengine ni MB Dog, Omary Omary anayetamba katika miondoko ya Mchiriku, AT kutoka Zanzibar, Abou Fleva pamoja na bendi ya Muumin Mwinjuma atakayetumbuiza na bendi yake ya Bwagamoyo Sound.
Baada ya ya burudani kutakuwa na mechi itakayowakutanisha Simba U-17 na Azam FC huku wakongwe wa timu hizo mbili Simba na Azan FC watakutana ifikapo saa 10 alasiri.
Kiingilio katika tamasha hilo ni Siti maalum (VIP) sh. 15,000 elfu 10,000 (Main Stand), Jukwaa la Kijani sh.5,000 na mzunguko sh.3,000.
Tamasha hili la Amka Kijana lina lengo la kutoa hamasa kwa vijana waamke na kutambua umuhimu wao katika jamii ikiwa ni pamoja na kusaidia katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali.
“Mfano utaona vijana ambao ytayari wameamka na kuanza kuingia Bungeni kama Kabwe Zitto Zubeir, Halima Mdee, Vick Kamata, John Mnyika, Joseph Mbilili a.k.a Sugu au Mr.II na wanamichezo wengine mbalimbali , sasa tunataka kuamsha vijana wengine licha ya kwamba siyo lazima waingie Bungeni lakini waweze kusaidia katika nyanya nyingine” alisema Mwalimu.
Tamasha hili la Amka Kijana limedhaminiwa na Redio Times FM na Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Naye Msemaji wa Klabu ya Simba Clifford Ndimbo amethibitisha kwamba timu yao iko katika maandalizi ya mechi hiyo licha ya kuwa kwa sasa wachezaji wa timu watakuwa wakifanya mazoezi huku wakitokea nyumbani.

Tamasha hilo litakalotanguliwa na burudani kutoka kwa wasanii tofauti tofauti limepangwa kuanza saa 4 asubuhi na baadaye kufuatiwa na mechi kati ya Mabingwa wa Tanzania
0 Comments