Waziri wa Mambo ya nje wa Zambia Kabinga J. Pande ambaye pia ndiye kiongozi wa timu ya Waangalizi kutoka SADC akiongea na waangalizi mbalimbali kutoka jumuiya hiyo wakati alipotoa ripoti ya awali ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Jamhuri ya Muunganjo ya Tanzania uliofanyika jumapili iliyopita nchini Kote. Bw Kabinga amesema uchaguzi huo pamoja na mambo mengine uchaguzi huo ulikuwa huru na haki na amepongeza wadau wote waliohusika na uchaguzi huo kwa ujumala mwake (Picha Habari na John Bukuku).
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
1 hour ago
0 Comments