Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeunda kambi ya Upinzani Bungeni na kumteua mbunge wa Hai Freeman Mbowe kuwa mkuu wa Kambi hiyo .Hata hivyo vyama vingine vyenye wabunge pamoja na Chama cha wananchi CUF vimekataa kuungana na CHADEMA na kubainisha kuwa vinaunda kambi yao.
SERIKALI KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA KUNUFAIKA NA SOKO LA CHINA
-
*China yafungua mlango wa ushuru sifuri kwa bidhaa za Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imesema itaendelea kuwawezesha wafanyabiashara...
1 hour ago
0 Comments