Mashabiki 10 walipatikana jana kwa kupitia droo iliyochezeshwa na Benki ya NMB ambao wamejishindia tiketi za kushuhudia mechi ya kimataifa kati ya timu ya Taifa nchini Taifa Stars na Morocco itakayopigwa Jumamosi Dar es Salaam.Droo hiyo ya Jiunge na Ushinde ilichezeshwa jana katika Ofisi za Makao Makuu NMB , na kushuhudiwa na Meneja Mawasiliano Josephine Kulwa.Walioshinda ni China Runyenye (Air Port), Imelda Makinda (Temeke), Easter Ndunguru (Ilala), Veronica Magoke, Japhet Jackson (Ilala), Abdulkarimu Samuli (Mbagala),Kujida Mwankingi(Air Port),Evelyne Mushi (Magomeni), Amoni Mogambaka (NMB –House) na Cecilia Marandu (Magomeni).Wengine 10 ambao ni kati ya 40 walioshinda fulana ni John Mkwazu (Clock Tower), Ramadhani Yusufu (Kondoa), Nyantori Matiko (Mugumu), Rommel Gavinyika (Nelson Mandela), Audax Barongo (Sumbawanga),Heri Almasi(Bukoba),Nyabundala Lulinda (Geita), Beatus mugeta (Nansio) na Rashid Gulamuhussein(Kenyatta Road).Pia wapo wengine 40 ambao wamepata jezi za Taifa Stars baadhi yao ni Doreen Lyamuya(Magomeni), Joachim Shayo(Clock Tower), Jerison Mutayababwa (Bukoba),Daniel Sanga (Mazengo),Flora Kileo (Magomeni),Akida Ally (Bukoba) Semeni Furgence (Biharamulo),Fulgence Lemnge (Hai),Ditrick Mkwela (Ilala) na Shoka Kai (Kariakoo).Washindi wengine 10 waliojipatia simu za mkononi ni Hamisi Selemani (Madaraka), Michael Chipiki (NMB House),Grace Kaombwe (Sikonge), Upendo Mwakasese(Kyela), Peter Bujari (Mwenge), Mwasiti Mbegu (Mwenge), Fanuel Macghapula (Kongwa), Hope Njige (Mihayo), Makene John (Musoma na Justin Selekwa (Kenyatta Road).
Kulwa alisema droo hiyo ilianza mwishoni mwa Septemba itafikia tamati mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka huu ambapo watachezesha droo kubwa.
0 Comments