Aunt kazini. Aunt Ezekiel, aliyewahi kuwa mmoja kati ya warembo waliotingisha kambi ya Miss Tanzania na sasa ni mcheza filamu wa kutumainiwa na mwenye mvuto sasa amezidi kujikita katika ujasiriamali kwa kufungua Pub yake mitaa ya Kinondoni Block41 Jijini Dar es Salaam hapa tukisalimiana .
WAKAZI WA SAME WATAKIWA KUENZI MABADILIKO YA MIUNDOMBINU NA UCHUMI
YANAYOWEKEZWA NA SERIKALI
-
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa wilaya ya Same
kutambua na kumiliki mafanikio ya serikali ...
4 hours ago
0 Comments