Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Izia Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga akikoroga pombe ya kienyeji aina ya Komoni inayotengenezwa kwa kutumia Mahindi, hapa akiiandaa kwa ajili ya wateja wake na hivi ndivyo inavyoandaliwa, Pombe hiyo inapokamilika huuzwa na kutoa kiasi cha shilingi 24,000 kwa pipa moja kama hili lakini utengenezaji wa pombe kama huu ni hatari kwa usalama wa afya na upngufu wa chakula.
WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI WA IRAN
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi
Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe.
Hossein Al...
3 hours ago
0 Comments