
Wanachama wa CCM Mkoa wa morogoro, wakiwa na mabango yenye picha za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood na mgombea Urais wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa mjini Morogoro jana.




0 Comments