Mama na Mwana haoo

Kwa kuchekaa hao sawasawa ni kama mtu na rafiki yake mwenyewe wakati wote hupenda kuniita 'Best '.
Mama na mwana.
Mvutoo mama na mwana yaani mimi na mtoto wangu Fatmah.
Akiwa na mjomba wake Hajj.
Hapa nikiwa mzigoni katika ofisi za Tanzania Daima iliyopo katika jengo la Club Bilicanas Mtaa wa Mkwepu Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments