Kwa mwaka huu AY alianza kunyakua tuzo ya Chaguo la Teneez ya Kenya,Kili Awards ya Tanzania na Museke Awards ya Ghana.Mwaka huu ni moto chini sidhani kama kuna artists wa bongo aliyekuwa nominee kwa awards za nchi tofauti na kushinda Tuzo..Sasa amechaguliwa katika final za Tuzo za Ufaransa za RADIO FRANCE INTERNATIONALE DISCOVERIES AWARD 2010 {Rfi Prix Découvertes 2010} zitazofanyika September,ndani ya Paris.AY anawaomba watanzania wote kumpigia kura za kutosha aweze/tuweze kushinda tuzo hizo.Unaweza kuvote kupitia http://www.rfimusique.com/ PAMOJA SANA
TCAA YAWASILISHA MIKAKATI YA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA KWA KAMATI YA BUNGE
YA MIUNDOMBINU
-
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imejipanga kutekeleza mikakati
yenye lengo la kuhakikisha kunakuwa na uendelevu wa kusimamia Sekta ya
Usafiri...
27 minutes ago
0 Comments