LAGOS, Nigeria
INGWA kumekuwa na hisia kuwa fungate zuri kwa wanandoa maarufu na wenye fedha kwenda nchi za Ulaya lakini kwa mwanadada Amara imekuwa tofauti na amewashauri wenzake kutohusudu kwenda Ulaya, Amerika, Uingereza na badala yake waende katika nchi za Afrika. Alizitaja baadhi ya nchi za Afrika zilizo na vivutio vikubwa kuwa ni Gambia, Msumbiji, Tanzania, Africa kusini, Angola, Cameruni na Ghana.
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAKIMBIZA WAHUNI WOTE KWENYE MIRADI YA
SERIKALI
-
Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imefuta mikataba yote ya ujenzi ambayo
imekuwa ikisuasua katika utekelezaji na kuisababishia halmashauri hasara
kubw...
2 hours ago
0 Comments