Kutoka kulia mwenye shati la kijani ni Hemed Hamisi 'Ramsey wa Bongo', Ester Flavian, Daudi Maico na Leonald Antony .
Andrew Chale
WASANII nchini wataneemeka na kufaidi matunda ya kazi zao za filamu nchini pale watakapoamua kutoa kazi zilizo na ubora, utashi kwa jamii ikiwemo kufikisha ujumbe wa haraka na mpangilio sahihi wa filamu yenyewe.Hayo ni maneno yake msanii na mwandaaji wa filamu anayekuja kwa kasi kubwa hapa nchini, Daud Michael, anayetamba na filamu za ‘ Upside Down’, ‘Where Is Love’, ‘Fake Pregnant’ na filamu ambayo ipo mbioni kutoka iliyojaa mastaa kibao kama ‘Aunt Suzzy’.Katika mahojiano maalum na Daud Michael anayemiliki studio yake ya kisasa ya uandaaji wa filamu mbalimbali hapa nchini inayofahamika kama ‘D Production, iliyopo maskani ya Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam.Daud anasema kuwa mpaka alipofikia ni safari ndefu katika tasnia hiyo ya sanaa kwani aliweza kupita milima na mabonde kama wasemavyo waswahili mpaka kufika hapo alipo na kuwa na Kampuni yake hiyo sambamba na kutoa filamu zake ambazo jamii wamezikubali.
RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC
-
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA
Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka
serikalini kupitia Wizara ya kilimo kwa lengo la kuwaweze...
2 hours ago
0 Comments