Social Icons

Wednesday, March 30, 2011

HABARI ZILIZOVUNJIKAVUNJIKA GURUMO ALAZWA MUHIMILII

Kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' Muhidin Gurumo amelazwa Hospitali ya Muhimbili leo, hii ni kutokana na habari zilizotufikia kutoka kwa mdau zikisema.
"Salaam ndungu, Mzee Muhidin Gurumo , amelazwa tena Muhimbili, inaonekana amezidiwa tena ! kila la kheri kwakwe na kwetu.Siku njema kwenu."

No comments:

 
 
Blogger Templates