Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari mapema ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na mvua hizo, ikiwemo mafuriko ya ghafla uharibifu wa miundombinu.
Aidha, wavuvi na wasafiri wa majini wameshauriwa kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa na kuepuka safari zisizo za lazima katika kipindi hiki ili kuhakikis
ha usalama wao.




0 Comments