Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameungana na Viongozi, Waumini pamoja na Wananchi mbalimbali katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francisko wa Asizi, Mwanjelwa Mkoani Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025. Ibada hiyo imeongozwa na Akofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga.
VYAMA 12 VYAPONGEZA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI YA MATUKIO YA OKTOBA 29
-
Vyama 12 Vimepongeza ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya tarehe 29 na
baada ya uchaguzi iliyowasilishwa na Jaji Chande.
Katika mkutano huo Mhe Doyo ali...
1 hour ago






0 Comments