KIBONDE AMKABIDHI MAZIGO MACHAPISHO MBALIMBALI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Mkuu wa Kitengo Serikalini Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Sarah Kibonde akimkabidhi Afisa Habari wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania Bw. Boaz Mazigo nyaraka za machapisho mbalimbali yanayozalishwa na Ofisi hiyo wakati alipotembelea banda la ofisi hiyo leo tarehe 5 Agosti , 2025 katika maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni.

Post a Comment

0 Comments