Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na viongozi mbalimbali wakati wa kikao cha Wenyeviti wa Bodi na wakuu wa Taasisi kinachofanyika katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha kuanzia tarehe 23-25 Agosti, 2025.
SERIKALI KUONGEZA KASI YA UANDAAJI MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI VIJIJINI
-
Na Munir Shemweta, WANMM MOROGORO
Katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya ardhi nchini,
Serikali imelenga kutekeleza mikakati ya kuongeza...
33 minutes ago





0 Comments