NCAA YATOA SHUKRAN KWA WATANZANIA SEKTA YA UTALII

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Abdul-Razaq Badru amewashukuru watanzania, wadau wa sekta ya utalii na wageni mbalimbali walioitembelea hifadhi ya Ngorongoro kwa kuipigia Kura hifadhi hiyo na kuiwezesha kuwa Kivutio bora cha Utalii Barani Afrika mwaka 2025.

Post a Comment

0 Comments