MNEC MUSSA MANSOUR ARUDISHA FOMU


Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Pwani Musa Mansour leo  tarehe  2 Julai 2025 amerudisha fomu yake kwa ajili ya kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini Mkoani Pwani.

Mansour amerudisha fomu hiyo katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kibaha Mjini na kupokelewa na Katibu wa CCM Kibaha Mjini Isaack Kalleiya.

Post a Comment

0 Comments